Waziri wa Nishati na Madini Wiliam Ngeleja akielekezwa jinsi ya kuvaa kofia kabra ya kuingia kwenye mitambo kwa ajili ya ukaguzi wa muendelezo wa mafundi katika kuhakikisha mgawo unatoweka nchini. kutoka kulia ni Kaimu katibu mkuu wa wizara Eliakimu Maswi na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Wiliam Mhando.
Eng Moses Mwandenga Manager mitambo Symbion akitowa maelezo kwa waziri Ngeleja jinsi mafuta yanavyo sambaa kutoka kwenye matanki kuelekea kwenye mitambo ili kuweza kuzalisha umeme. by Keneth Goliama
No comments:
Post a Comment