Mitambo ya Symbion ikiwa katika kuhakikisha mgao wa umeme unaendelea kuwa katika hali ya kawaida hapa nchini , mitambo hii inauwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatt 112
Vifaa vya mtambo wa Jacobseni ikiwa katika harakati za kufungwa ili kuweza kuzalisha umeme wa megawatt 100. mitambo hii imekodiwa kutoka finland kwa msaada wa serikali.
No comments:
Post a Comment