Photobucket

Thursday, September 8, 2011

WATUMISHI MBARONI MAKETE KWA UTAPELI


Na Mwandishi wetu IRINGA
Halimashauri ya wilaya ya Makete mkoanui Iringa  ni wa ilaya ianayokuwa  na wafanyakazi hewa ambao  hawana sifa za kufanya kazi katika  lakini wanashirikiana na wafanyakazi wa benki kufanya utapeli wa malipo hewa kwa miaka kadhaa sasa.

 watumishi hao ni wa halmashauri y a wilaya ya Makete  ambao wanasadikika kuwa wawili waliokamatwa ni watumishi  ambao ni mke na mke, wanafunzi na  benki maarufu hapa makete.
Taarifa zinasema watuhumiwa ho bado wanaendelewa kuchunguzwa ili kuweza kupata taarifa kamili ya tukio zima  katika mtandao huu.
Akiongea na mtandao huu askari mmoja ambaye alisema yeye sio msemaji wa Polisi wilyani hapa alisema watuhumiwa wote wanahojiwa  ili kuweza kupata sababi ya kufanya kazi kinyume m a taratibu za utumishi

No comments:

Post a Comment