Photobucket

Thursday, September 8, 2011

SUGU APANDISHWA KIZI HUKU WAFUASI WAKIFURIKA KUMRAKI


MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr. II Sugu  apandishwa kizimbani kwa mara nyingine tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yake ya kufanya kusaanyiko la  la umma kinyume na sheria
 kwa panda kwa sugu kizimambani kuliambatana na Mwenyekiti wa wilaya ya Mbeya kupitia chadema , John Mwambigija na Katibu mwenezi wa chama hicho wilaya ya Mbeya Mjini Job ZebedayoMwanyerere.

 Mwendesha mashataka, Wakili wa Serikali Apimaki Mabrouk alisema  licha ya upelelezi kukamilika waliomba mda kutokamna na  baadhi ya mabo ya kisheria kutokaa sawa hivyo kuomba kesi hiyo kuahirishwa hadi siku nyingine itakaposomwa.

 Hata  hivyo alikupalian ana upande  wa  wakili wa serikali kutaka kesi hiyo kuahirishawa hadi tarehe  septemba 27 mwaka huu ambapo kesi hiyo itasomwa tena .
Sugu na wenzake wanadaiwa kuwa Julai 8, mwaka huu watuhumiwa  walifanya kosa  la kukusanyika bila kibari  katika eneo la  Nzovwe Jijini Mbeyakwa  kwa kufanya mkutano wa hadhara pasipo kibali cha polisi.
 Watuhumiwa wanadaiwa kwenda kinyume na sheria ya kifungu cha 43 (i) na kifungu cha 46(iia) cha sheria ya Polisi kama ilivyorekebishwa mwaka 2002.
Hata hivyo hakimu  alisema watuhumiwa wataendelea na  dhamana zinaendelea hadi hapo kesi hiyo itakapotajwa tena mahakamani hapo Septemba 27, mwaka huu.




No comments:

Post a Comment