Photobucket

Friday, August 26, 2011

UPANDAJI MITI KUASHIRIA UFUNGUZI


Kaimu Mkurugenzi wa TANESCO Robert Shemhiru akipanda mtim kuashiria mafunzo ya kwanza kwa miazi mitatu kumalizika katika chuo cha TTTS kilichopo Masaki. Chuo hicho kimeanza kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wasambazji umeme hapa nchini ambapo waliohidimu ni wafanyakazi 50 ambapo 45 kutoka Tanzania bara nma 5 kutoka Zanzibar.

No comments:

Post a Comment