Photobucket

Friday, August 26, 2011

WASHINDI KATIKA MAFUNZO YA WAFANYAKAZI TANECO YALIYOFANYIKA KATIKA CHUO CHA MAFUNZO MASAKI.

Christopher Ngondo kutoka Mbeya ambaye ni mshindiwa kwanza katika mafunzo yaliyotolewa na TANESCO kwa wafanyakazi katika chuo cha mafunzo ufundi Masaki (T T TS) akipokea Zawadi kutoka kwa  mgeni rasmi pia Kaimu mkurugenzi wa TANESCO Robert shemhiru
Felista Majengo kutoka Singida ambaye ni mshindi wa pili katika mafunzo yaliyotolewa na TANESCO kwa wafanyakazi katika chuo cha mafunzo cha mafundi Masaki (TTTS), akipokea Zawadi kutoka kwa  mgeni rasmi pia Kaimu mkurugenzi wa TANESCO Robert shemhiru
Haji Ramadhani Haji kutoka Iringa ambaye ni mshindi wa tatu katika mafunzo yaliyotolewa na TANESCO kwa wafanyakazi katika chuo cha mafunzoya Ufundi Masaki  (TTTS), akipokea Zawadi kutoka kwa  mgeni rasmi pia Kaimu mkurugenzi wa TANESCO Robert shemhiru 

No comments:

Post a Comment