Na keneth Goliama.
SOKO la sido- mwanjelwa jijini Mbeya linateketea kwa moto baada ya kusadikikika kutokea kwa shoti ya umeme majira ya saa tatu na kusababisha moshi mzito katika soko hilo, huku wafanyabishara na wananchi wakiwa katika hali tete kutokana na janga hilo kujitokeza kila baada ya m mwaka
No comments:
Post a Comment