Tufuate siasa zinazoleta maendeleo na sio mbwembwe tu na kuweza kuwaumiza wananchi. mapinduzi ya maslahi kwananchi ni mazuri zaidi iwapo tutadhamilia kutengeneza inchi yetu inayitegemea maisha ya vitu vya watanzania wenyewe. si shabikii upinzani bali naona wapewe dhamana ya kuongoza ili kuona uwezo wao.
No comments:
Post a Comment