Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar
No comments:
Post a Comment