Photobucket

Sunday, June 5, 2011

MATUKIO MBALIMBALI MKOANI MBEYA

Watumiwa nane wa mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa Halimashauri ya Rungwe CCM John Afwilile mwankenja wakiwa chini ya ulinzi mkali kuelea grezani



WANAFUNZI wa mkoa waMbeua wakishangilia baada ya kupata ushindi katika michezo nane kati ya kumi na moja.


Maofisa Polisi katika mkoa wa Mbeya wakiangalia kamera ya mwandishi Fredy Bakalemwa katika mahakama ya wilaya ya Rungwe baada ya kulinda watuhumiwa.





No comments:

Post a Comment