Photobucket

Saturday, March 19, 2011

HAPA MWANZO MWISHO HADI TUPATE USAFIRI WA KITANZANIA

Vijana waliokuwa wabunifu wa juu wakionesha ujuzi wao wa kuendesha mali nzuli na zao lao la kitanzania walipokutwa na mpiga picha  wetu.Usafiri huu hutumiwa na watoto zaidi katika kufanyia kazi za kubebea mizigo mbalimbali

No comments:

Post a Comment