Photobucket

Friday, September 3, 2010

NA MIMI NATAKA KUINGIA KUONA MAONESHO YA KILIMO


Umati wa wananchi wakiwa wanang`ang`ania kupata tiketi za kuingia katika uwanja wa maonesho ya kilimo katika mkoa wa mbeya huku idadi kubwa kuwa ni watoto wanaotaka kujionea jinsi ya kufunga vitu mbalimbali

No comments:

Post a Comment